Kuandika Kuhusu Raha
Lengo la somo hili ni…
Lengo la somo hili ni…
Kukusaidia kukumbuka na kutafakari tukio la karibuni la raha/ furaha, kufafanua maana ya raha kwako, na kutaja jinsi ungependa kupata raha zaidi katika maisha yako.
Jinsi ya kujiandaa
Zoezi au shughuli
Wakati wa kujituliza au kuanza mpya

Wakati wa kujituliza au kuanza mpya
Hisi miguu yako, chukua muda mfupi kupumua, na ujishukuru kwa kupitia na kukamilisha shughuli hii.
Mwaliko wa Kuunganisha
Kuleta kumbukumbu za nyakati na hali zilizokuletea furaha katika wakati wa sasa husaidia kujenga kujiamini na hali ya utulivu wa ndani, kwa sababu hukukumbusha jinsi ambavyo umeweza kufurahia maisha.Ikiwa zoezi hili lilikufaa, unaweza kujaribu kutafuta kwa makusudi furaha katika mambo madogo ya kila siku, kama vile kutazama macheo au machweo ya jua, kula chakula unachokipenda, kuandaa kinywaji unachokipenda, kuoga kwa utulivu, au kutembea kwa muda mfupi.
