Kuvuta Pumzi ya Kutuliza
Lengo la somo hili ni…
Lengo la somo hili ni…
kukupa muda wa kufanya mazoezi ya kupumua kama mbinu ya kujituliza na kujirejesha katika wakati wa sasa unapohitaji zaidi.
Jinsi ya Kujiandaa
Shughuli
Muda wa Kuweka mzingi

Muda wa Kuweka mzingi
Jiruhusu kupokea taarifa yoyote inayokujia na uangalie ni wapi unahisi hisia katika mwili wako, kisha jipe upendo. Jitambue na ujithamini.
Mwaliko wa Kujumuisha Katika Maisha ya Kila Siku
Tafakari jinsi unavyoweza kuwa na makusudi katika kujumuisha zoezi hili la kujituliza katika maisha yako. Kwa mfano, mwanzoni mwa siku unaweza kupumua ukielekeza pumzi kwenye miguu yako kabla ya kutoka kitandani.
