Jinsi ya kutafakari
Lengo la somo hili ni…
Lengo la somo hili ni…
kukusaidia kuelewa kutafakari (meditation) ni nini, faida ya zoezi hili, na kushiriki nawe wakati mfupi wa kutafakari.
Jinsi ya kujiandaa
Zoezi au shughuli
Muda wa kujituliza au kuanza upya

Muda wa kujituliza au kuanza upya
Chukua muda mfupi kupumua na ujishukuru kwa kushiriki katika shughuli hii.
Mwaliko wa kuunganisha katika maisha ya kila siku
Fikiria jinsi unavyoweza kukuza mazoea ya kutafakari kwa makusudi. Kwa mfano, kabla ya kutoka kitandani, je, unaweza kufanya zoezi la dakika 5 kama ulilofanya sasa?
Au unaweza kuunganisha kutafakari na tabia ya kila siku ambayo tayari unayo (kama kupiga mswaki au kuandaa chai) ili ikusaidie kukumbuka kufanya zoezi hili.
